Droo ya AFCON 2025: Timu Zote, Makundi, na Ratiba ya Michuano
AFCON
Droo ya AFCON 2025, haya hapa makundi, ratiba, na muundo wa michuano nchini Morocco. Fahamu mpangilio kamili wa Makundi ya AFCON 2025, nafasi ya Tanzania, na tarehe muhimu kuanzia 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026.