Utabiri wa mechi za kila siku

Mikeka ya Uhakika

Karibu Mikeka ya Uhakika, tovuti yako bora kwa vidokezo vya kubeti, utabiri wa mpira wa miguu, na takwimu za kina kwa ligi na michuano mbalimbali. Tunazingatia matokeo ya timu kwenye mechi za hivi karibuni ili kukupa mwongozo bora wa kuchagua mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.

Data zetu za kila siku zinajumuisha: Ushindi wa Mechi (1X2), Zaidi/Chini ya magoli (Over/Under), Magoli Kipindi cha Kwanza (Halftime Goals), na Timu Zote Kufungana (BTTS).

Utabiri wa Leo

Chagua siku kutazama mikeka ya siku husika

Tarehe / Saa
Mechi
Utabiri
11:00
28/09/2026
AFF Cup
Singapore - Bangladesh
1
14:30
28/09/2026
AFF Cup
Indonesia - Malaysia
1
19:00
28/09/2026
AFCON
Central Africa - Burkina Faso
2
21:45
28/09/2026
UEFA NaL
Sweden - Poland
1X
22:00
28/09/2026
AFCON
Tunisia - Botswana
1
Hakuna mikeka kwa siku hii. Tafadhali rudi baadae.
Hakuna mikeka kwa siku hii. Tafadhali rudi baadae.

Mikeka Mingine Ya Leo

Fuatilia mikeka mingine inayoshinda leo

VIP Tips

Mikeka ya VIP

Mikeka ya VIP - Odds 2 hadi 3 kila siku za uhakika

Fungua Mikeka ya VIP
Over 1.5

Mikeka ya Over 1.5

Utabiri wa mpira wa miguu Over 1.5 - mechi zenye nafasi kubwa ya kufunga mabao mawili au zaidi.

Fungua Mikeka Hii
HT 1.5

Under/Over 1.5 First Half

Utabiri wa magoli kipindi cha kwanza. Juu au Chini ya 1.5! Mikeka ya odds kubwa.

Fungua Mikeka Hii
BTTS

Both Teams to Score (GG)

Mikeka ya GG - Timu zote kufungana. Mikeka ya kila siku yenye odds nzuri kwa ushindi mkubwa

Fungua Mikeka Hii

Mkeka: Treni la Leo

Chagua siku kutazama treni la siku husika

Tarehe / Saa
Mechi
Utabiri
01:00
28/09/2026
CONCACAF Nations League
Cuba - Bonaire
1
02:30
28/09/2026
Brazil Serie B
America MG - Juventude
Under 3.5
03:00
28/09/2026
USA MLS
Columbus Crew - Inter Miami
Over 2.5
03:00
28/09/2026
USA USL League One
One Knoxville - Westchester SC
1
03:30
28/09/2026
Bolivia Copa de la División Profesional
Real Tomayapo - Real Oruro
1
04:00
28/09/2026
CONCACAF Nations League
Curacao - Nicaragua
1X
04:00
28/09/2026
CONCACAF Nations League
Dominica - Puerto Rico
Under 3.5
05:00
28/09/2026
CONCACAF Nations League
Trinidad Tobago - Dominican Republic
Over 1.5
05:00
28/09/2026
Mexico Liga MX
Leon - Juarez FC
1
07:10
28/09/2026
Mexico Liga MX
Necaxa - Club America
Over 1.5
17:00
28/09/2026
Serbia Prva Liga
Grafičar - Teleoptik
Over 1.5
18:40
28/09/2026
UAE Presidents Cup
Al Arabi - Al Thaid
Over 1.5
19:00
28/09/2026
Slovakia 2. liga
Žilina II - Humenné
1
20:00
28/09/2026
Serbia Prva Liga
OFK Bor 1919 - Metalac GM
Over 2.5
20:00
28/09/2026
Serbia Prva Liga
Dubočica - Javor
2
20:00
28/09/2026
Norway 3. Division - Girone 6
Raelingen - Lyn II
Over 2.5
20:00
28/09/2026
UEFA Nations League C
Armenia - Montenegro
Under 3.5
20:00
28/09/2026
Israel Liga Leumit
Hapoel Kfar Saba - Bnei Yehuda
2
20:00
28/09/2026
Israel Liga Leumit
Hapoel Kfar Shalem - Maccabi Kabilio Jaffa
1
20:30
28/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Denmark U21 - Belarus U21
1
20:45
28/09/2026
Israel Liga Leumit
Maccabi Bnei Raina - Hapoel Raanana
Over 1.5
21:00
28/09/2026
Slovenia 2. SNL
Rudar Velenje - Dravinja
1
21:15
28/09/2026
Qatar QSL Cup
Al-Sailiya - Al-Rayyan SC
Over 1.5
21:15
28/09/2026
Qatar QSL Cup
Al Shahaniya - Al-Duhail SC
Over 1.5
22:45
28/09/2026
UEFA Nations League B
Sweden - Poland
Over 1.5
22:45
28/09/2026
UEFA Nations League B
Northern Ireland - Hungary
Under 2.5
22:45
28/09/2026
UEFA Nations League A
Belgium - France
Over 2.5
01:00
29/09/2026
Chile Cup
Puerto Montt - Colo Colo
X2
02:00
29/09/2026
Bolivia Copa de la División Profesional
Real Potosí - ABB
1
02:30
29/09/2026
Brazil Serie B
Botafogo SP - Ponte Preta
1
04:00
29/09/2026
CONCACAF Nations League
St Kitts Nevis - Grenada
2
04:00
29/09/2026
CONCACAF Nations League
St Lucia - Bermuda
Over 1.5
05:00
29/09/2026
Costa Rica Liga de Ascenso
Cariari Pococi - CS Uruguay
Over 1.5
14:00
29/09/2026
International Match
Australia - Brazil
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Giravanz Kitakyushu - Nagoya Grampus
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Gainare Tottori - V-Varen Nagasaki
X2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Fukushima Utd - Mito Hollyhock
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Fujieda MYFC - Cerezo Osaka
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Ehime FC - FC Tokyo
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Jubilo Iwata - JEF Utd Chiba
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Hokkaido Consadole Sapporo - Fagiano Okayama
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Matsumoto Y FC - Albirex Niigata
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Montedio Yamagata - Yokohama F-Marinos
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Roasso Kumamoto - Kawasaki Frontale
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Tochigi City - Sanfrecce Hiroshima
2
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Zweigen Kanazawa - Shimizu S-Pulse
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
FC Gifu - Yokohama FC
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
FC Osaka - Avispa Fukuoka
Over 1.5
14:00
29/09/2026
Japan J-League Cup
Kataller Toyama - Urawa Red Diamonds
Over 1.5
17:00
29/09/2026
World Africa Cup of Nations - Qualification
Ethiopia - Senegal
Over 1.5
17:00
29/09/2026
World Africa Cup of Nations - Qualification
Lesotho - Morocco
2
17:30
29/09/2026
Slovakia Cup
Inter Bratislava - Podbrezová
2
18:35
29/09/2026
UAE Presidents Cup
Al Fujairah SC - Al Jazira Al Hamra
1
18:40
29/09/2026
UAE Presidents Cup
Palm City - Dibba Al Hisn
Over 2.5
19:00
29/09/2026
Qatar QSL Cup
Al-Khor - UMM Salal
Over 2.5
19:00
29/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Iceland U21 - Switzerland U21
Over 1.5
20:00
29/09/2026
UEFA Nations League C
Moldova - Faroe Islands
Under 2.5
20:00
29/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Estonia U21 - France U21
2
20:00
29/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Norway U21 - Bosnia-Herzegovina U21
1
21:15
29/09/2026
Qatar QSL Cup
Al-Markhiya - Al Ahli Doha
Over 1.5
22:00
29/09/2026
England National League
Boreham Wood - Kidderminster
1
22:00
29/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Republic of Ireland U21 - Kazakhstan U21
1
22:00
29/09/2026
World UEFA U21 Championship - Qualification
Belgium U21 - Wales U21
1
22:45
29/09/2026
Wales Premier League
Cardiff MET - Haverfordwest County AFC
Over 1.5
22:45
29/09/2026
UEFA Nations League C
San Marino - Albania
2
22:45
29/09/2026
England National League North
Brackley - South Shields
2
22:45
29/09/2026
UEFA Nations League A
Czechia - England
X2
22:45
29/09/2026
England National League
AFC Fylde - Carlisle
Over 2.5
22:45
29/09/2026
England National League
Barrow - Scunthorpe
Over 1.5
22:45
29/09/2026
England National League
Halifax - Boston Utd
Over 1.5
22:45
29/09/2026
England National League
Forest Green - Wealdstone
1
22:45
29/09/2026
England National League
Gateshead - Altrincham
2
22:45
29/09/2026
England National League
Hartlepool - Harrogate Town
Over 1.5
22:45
29/09/2026
England National League
Hornchurch FC - Aldershot
Over 1.5
22:45
29/09/2026
England National League
Woking - Solihull Moors
Over 2.5
22:45
29/09/2026
England National League
Yeovil - Worthing
Over 2.5
22:45
29/09/2026
Scotland League Challenge Cup
Forfar - Formartine United
1
22:45
29/09/2026
UEFA Nations League A
Spain - Croatia
1
22:45
29/09/2026
UEFA Nations League B
Scotland - Switzerland
Under 3.5
23:00
29/09/2026
World Africa Cup of Nations - Qualification
Somalia - Ivory Coast
2
23:00
29/09/2026
Bolivia Copa de la División Profesional
Universitario de Vinto - Guabirá
Over 2.5
04:00
30/09/2026
International Match
USA - Chile
1X
20:45
30/09/2026
UEFA Womens Champions League
BK Hacken (W) - Juventus (W)
Over 1.5
20:45
30/09/2026
UEFA Womens Champions League
Roma (W) - Barcelona (W)
2
20:45
30/09/2026
UEFA Womens Champions League
Paris FC (W) - Arsenal (W)
2
22:45
30/09/2026
England National League
Tamworth - Sutton Utd
Over 1.5
22:45
30/09/2026
England National League
Eastleigh - Southend
Over 1.5
23:00
30/09/2026
UEFA Womens Champions League
Benfica (W) - Bayern Munich (W)
2
23:00
30/09/2026
UEFA Womens Champions League
OL Lyonnes (W) - Chelsea (W)
1

Makala Zilizoongezwa Hivi Karibuni

Soma makala mbalimbali za michezo na mikeka

SokaNews Habari za soka

Soma habari mpya za soka SokaNews

Habari za mpira wa miguu kwa Kiswahili, matukio ya ligi kubwa, usajili, na taarifa muhimu kwa mashabiki wa soka.

Fungua SokaNews
Vilabu Bora Afrika 2024: Top 15 Kulingana na CAF Rankings
2025-02-05

Vilabu Bora Afrika 2024: Top 15 Kulingana na CAF Rankings

Orodha kamili ya vilabu 15 bora barani Afrika kulingana na CAF Rankings 2024/25, tukiangazia Simba SC na Yanga, pamoja na maelezo ya jinsi pointi zinavyopatikana.

Soma zaidi
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, Viwanja, Muundo Mpya na Timu Zilizofuzu
2025-01-31

Kombe la Dunia 2026: Ratiba, Viwanja, Muundo Mpya na Timu Zilizofuzu

Jifunze kila kitu muhimu kuhusu Kombe la Dunia 2026—tarehe, muundo mpya uliopanuliwa, viwanja vya Marekani, Canada na Mexico, pamoja na Ratiba ya Kombe la Dunia 2026.

Soma zaidi
CAF - Timu za Africa Kombe la Dunia 2026: Ratiba na Matokeo ya Mechi za Kufuzu
2025-01-31

CAF - Timu za Africa Kombe la Dunia 2026: Ratiba na Matokeo ya Mechi za Kufuzu

Fahamu ratiba, matokeo, na msimamo wa mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 barani Afrika (CAF). Gundua wachezaji nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza wanaoshiriki, jinsi Tanzania (Taifa Stars) inavyopambana na vigogo, na mbinu za kufuzu zinazopeleka timu tisa au kumi za Afrika kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani, Kanada, na Mexico.

Soma zaidi
Droo ya AFCON 2025: Timu Zote, Makundi, na Ratiba ya Michuano
2025-01-28

Droo ya AFCON 2025: Timu Zote, Makundi, na Ratiba ya Michuano

Droo ya AFCON 2025, haya hapa makundi, ratiba, na muundo wa michuano nchini Morocco. Fahamu mpangilio kamili wa Makundi ya AFCON 2025, nafasi ya Tanzania, na tarehe muhimu kuanzia 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026.

Soma zaidi
Kampuni Nzuri za Betting Tanzania 2025
2025-01-01

Kampuni Nzuri za Betting Tanzania 2025

Angalia hapa orodha ya kampuni bora za betting Tanzania kwa mwaka 2025. Hizi ni kampuni bora za kubashiri zenye ofa za bure, machaguo mengi na bonus za mikeka

Soma zaidi

Karibu MIKEKA YA UHAKIKA – Tovuti Sahihi ya Kubashiri Mpira

MIKEKA YA UHAKIKA ni chanzo kinachoaminika cha 1X2, Double Chance, Over/Under na BTTS kwa mashabiki wa kubashiri. Tunachambua mechi kwa umakini kulingana na takwimu za hivi karibuni, uimara wa timu, form ya michezo ya karibuni na taarifa muhimu kama majeruhi na lineups. Lengo letu ni kukusaidia kufanya maamuzi sahihi na kuongeza nafasi zako za ushindi kila siku.

Kila siku tunakuletea takwimu na uchambuzi mpana ukiwemo: matokeo ya mechi nzima (Full Time 1X2), idadi ya mabao (Over/Under), magoli kipindi cha kwanza, Both Teams To Score (BTTS), kona, bookings na kadi.

1X2 – Utabiri Maarufu Zaidi

Utabiri wa 1X2 ndio aina maarufu zaidi duniani kwa kubaini mshindi wa mechi baada ya dakika 90. Kwa kutumia takwimu, form ya timu, head-to-head na mbinu za kitaalam, tunatoa mapendekezo yanayosasishwa mara mbili kwa siku ili uhakikishe unapata taarifa za kisasa kabisa.

Kubashiri Mpira... Njia Rahisi ya Kujipatia Kipato

Leo hii, kubashiri mpira mtandaoni kumegeuka kuwa moja ya vyanzo halali vya kujiongezea kipato. Lakini ili ushinde mara kwa mara, unahitaji zaidi ya bahati... unahitaji uchambuzi makini. Kubashiri si sawa na bahati nasibu au kamari ya mtu kwa mtu. Hapa tunahesabu uwezekano, takwimu na ubora wa timu ili kubaini matokeo yanayowezekana.

Utabiri bora hutokana na uchambuzi thabiti... kujua form ya timu, rekodi zao, nguvu na udhaifu, pamoja na thamani ya odds. Mbinu hizi ndizo zinazoongeza nafasi zako za ushindi.

Kwa Nini Wengi Hupoteza Mikeka Yao?

Mitandaoni zipo tovuti nyingi zinazoahidi ushindi mkubwa bila msingi wowote. Mara nyingi ukilipa pesa kupata tip, unachopewa hakitakuwa cha uhakika... mwisho wa siku unapoteza bet na pesa zako. Hapo ndipo hasira na kuchoka huanzia.

Ukweli ni mmoja: Tip nzuri zaidi ni ile ambayo imechambuliwa kwa data sahihi. Utabiri bora ni ule uliotokana na takwimu, utafiti wako na taarifa kutoka vyanzo vingi. Hayo ndiyo yanayokupa uhakika wa kuchagua mechi yenye nafasi halisi ya kushinda.

Kwanini Ututumie – MIKEKA YA UHAKIKA

MIKEKA YA UHAKIKA ni tovuti huru ya utabiri wa mpira inayotoa tabiri bora zaidi Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kila siku tunakuwekea:

  • Takwimu za mechi za leo
  • Uchambuzi wa kitaalam
  • Taarifa za betting markets mbalimbali
  • Mapendekezo ya bure ya 1X2, Double Chance, Over/Under na BTTS

Tunafanya hivi si kwa sababu ya kuuza tips tu... bali kwa sababu tuna passion halisi ya mpira na uchambuzi.

Takwimu na Uchambuzi wa Kina

Mbali na tips, unaweza kupata takwimu za timu, form yao katika mechi 5–10 zilizopita, na mwenendo wa ligi husika. Mbali na 1X2, tunakupa pia:

  • Over/Under kutoka 0.5 hadi 4.5
  • Magoli kipindi cha kwanza
  • BTTS
  • Idadi ya kona
  • Kadi na bookings

Utabiri wetu wa kila siku unategemea taarifa halisi kama:

  • Takwimu za mechi
  • Lineups na form ya wachezaji
  • Majeruhi na waliofungiwa
  • Historia ya timu mbili zinapokutana

Takwimu zote tunazotumia zinapatikana wazi kwenye tovuti yetu ili uweze kuzihakiki mwenyewe.

© 2026 Mkeka wa Leo
Haki zote zimehifadhiwa