Mkeka wa Both Teams to Score
Timu zote kufungana (GG)
Mkeka wa GG/NG au Both Teams to Score (BTTS) ni moja wapo ya mikeka yetu ya kila siku inayofanya vizuri sana. Jipatie bashiri za leo na za kila siku za BTTS au GG/NG na uongeze nafasi yako ya ushindi.
Utabiri wa Leo - BTTS
Chagua siku kuona mikeka yote ya GG/NG
Mwongozo wa Kubashiri Both Teams To Score (GG/NG)
Utabiri wa Both Teams To Score (BTTS) maarufu kama GG/NG ni moja ya masoko rahisi na nafuu kuyabashiri. Ni rahisi kuelewa na haihitaji maelezo mengi... unachotazama ni kama timu zote mbili zitafunga au la ndani ya dakika 90.
GG (Yes) ina maana timu zote mbili zinatakiwa kufunga angalau bao moja kila moja. NG (No) ina maana mechi inapaswa kuisha bila mojawapo ya timu kufunga, au hata zote mbili zikikosa.
Jinsi BTTS Inavyofanya Kazi (GG/NG)
Tunapozungumzia BTTS, tunatabiri uwezekano wa timu zote mbili kupata mabao. Haijalishi mechi ni ngumu au rahisi... muhimu ni timu zote kufanikiwa kutikisa nyavu kabla ya mchezo kumalizika.
Swali kuu la kujiuliza kabla ya kuchagua GG/NG ni: Hizi timu mbili zimekutana mara ngapi na matokeo yao ya kawaida yamekuwa yapi? Majibu yake yanapatikana kupitia takwimu za mechi zao zilizopita, form ya timu, ligi wanazocheza na mashindano mbalimbali.
Jinsi ya Kuchagua Mechi Sahihi za GG
Ni busara kuchagua mechi zenye nafasi kubwa ya timu zote kufunga, mfano:
- Timu zote zina wastani mzuri wa kufunga mabao kwenye mechi zao 5–10 zilizopita
- Ulinzi wa timu zote mbili hauna nguvu sana
- Head-to-head zao zinaonyesha mechi zao mara nyingi huwa na magoli kutoka pande zote
- Timu zote zinacheza soka la kushambulia na zina washambuliaji katika form
Unashauriwa pia kuchagua mechi ambayo angalau timu moja ina asilimia ya juu ya kufunga kuliko nyingine... hii hupunguza hatari ya mechi kuisha 0-0 au timu kukosa magoli kabisa.
Mifano ya Matokeo ya GG (Yes)
- 1-1
- 2-1, 1-2
- 2-2
- 3-1, 1-3
- 3-2, 2-3
- N.k
Mifano ya Matokeo ya NG (No)
- 0-0
- 1-0, 0-1
- 2-0, 0-2
- 3-0, 0-3
- 4-0, 0-4
- N.k
Kwa kifupi... GG ni nzuri kwa mechi za ushambuliaji, wakati NG ni bora kwa mechi za ulinzi mkali au timu dhaifu dhidi ya timu yenye nguvu. Tumia takwimu sahihi ili kuongeza nafasi za kuchukua ushindi.