Mkeka wa Over/Under 1.5 Halftime
Utabiri wa magoli kipindi cha kwanza
Shinda beti zako kila siku na mikeka yetu ya uhakika ya utabiri wa jumla ya magoli kwa kipindi cha kwanza (Juu/Chini ya 1.5). Hapa chini tumekuwekea utabiri wa mechi za leo na kesho kwa chaguo hili la Total Goals First Half.
Over/Under 1.5 First Half - Utabiri wa Leo
Chagua siku kutazama mikeka ya siku husika
Mwongozo wa Kubashiri Magoli Kipindi cha Kwanza – Under/Over 1.5 HT
Utabiri wa Under/Over 1.5 kipindi cha kwanza ni sehemu muhimu ya masoko ya mabao katika kubashiri mpira. Hapa unachagua kama mechi itafikisha chini ya mabao mawili au zaidi ya bao moja ndani ya dakika 45 za kwanza pamoja na muda wa nyongeza. Odds za masoko ya kipindi cha kwanza huongezeka kadri muda unavyosonga, jambo ambalo huleta nafasi nzuri kwa wachezaji wa live.
Over 1.5 HT inamaanisha kuwa tunahitaji angalau mabao mawili ndani ya kipindi cha kwanza. Under 1.5 HT ina maana mechi inapaswa kuishia bila kufika mabao mawili katika muda huo.
Jinsi ya Kufanya Utafiti wa Under/Over 1.5 HT
Ili kupata ubashiri sahihi, ni vizuri kuchunguza takwimu za timu zote mbili na kuona:
- Timu zipi huwa zinafunga au kuruhusu magoli mengi kipindi cha kwanza
- Muundo wa vikosi (lineups) siku ya mechi
- Mbinu za kocha... je timu ni ya kushambulia au kujilinda?
Timu zinazoshambulia mara nyingi huwa na washambuliaji wengi mbele, hivyo nafasi za kufunga mabao mapema huwa juu... hii inaweza kusaidia kuchagua Over 1.5 HT. Kwa upande mwingine, timu zenye ulinzi imara au zinazocheza kwa tahadhari zinafaa kwa chaguo la Under 1.5 HT.