Thierry Henry Aitaja Ufaransa Kuwa Kipenzi Chake Kubeba Kombe la Dunia, Azitaja Norway na Senegal Kama 'Surprise'
Gwiji wa soka wa Ufaransa, Thierry Henry, ameitaja timu yake ya taifa kuwa ya kwanza kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa dunia, huku akizitaja Senegal na Norway kama timu zinazoweza kushangaza wengi.
#kombeladunia
#thierryhenry
#ufaransa
#senegal
#didierdeschamps
#sokalakimataifa
Soma zaidi