KOMBE LA DUNIA
2026-06-16
Skendo Kombe la Dunia: FIFA Yatakiwa Kumtimua Mwamuzi wa VAR Baada ya Tuhuma za Ishara ya Kibaguzi ya 'White Power'
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetakiwa kumwondoa mwamuzi wa VAR, Shaun Evans, baada ya kudaiwa kuonesha ishara ya kibaguzi ya 'White Power' wakati wa matangazo ya Kombe la Dunia.
#fifa
#kombeladunia
#shaunevans
#ubaguzi
#var
#sokalakimataifa
Soma zaidi