TETESI ZA USAJILI
2026-06-14
Man Utd Yaachana na Mpango wa Kumsajili Sandro Tonali Kisa Dau Kubwa
Manchester United wamejiondoa kwenye mbio za kuwania saini ya kiungo wa Newcastle United, Sandro Tonali, baada ya kubaini kuwa dili hilo litakuwa ghali mno kwao.
#manchesterunited
#sandrotonali
#newcastleunited
#premierleague
#uhamisho
#fabrizioromano
Soma zaidi